Deuteronomy 28:45

45 aLaana hizi zote zitakuja juu yako. Zitakufuatia na kukupata mpaka uangamizwe, kwa sababu hukumtii Bwana Mwenyezi Mungu wako, na kuzishika amri zake na maagizo yake aliyokupa.
Copyright information for SwhKC